Hosea 9:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hawatakaa katika nchi ya Mwenyezi-Mungu; naam, watu wa Efraimu watarudi utumwani Misri; watakula vyakula najisi huko Ashuru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawataishi katika nchi ya Mwenyezi Mungu, Efraimu atarudi Misri na atakula chakula kilicho najisi huko Ashuru.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hawatakaa katika nchi ya Bwana; lakini Efraimu atarudi Misri, nao watakula chakula kinajisi katika Ashuru.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hawatakaa katika nchi ya Mwenyezi-Mungu; naam, watu wa Efraimu watarudi utumwani Misri; watakula vyakula najisi huko Ashuru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawataishi katika nchi ya BWANA, Efraimu atarudi Misri na atakula chakula kilicho najisi huko Ashuru.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawataishi katika nchi ya bwana, Efraimu atarudi Misri na atakula chakula kilicho najisi huko Ashuru.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hawatakaa katika nchi ya BWANA; lakini Efraimu atarudi Misri, nao watakula chakula najisi katika Ashuru.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hawatakaa katika nchi ya Mwenyezi-Mungu; naam, watu wa Efraimu watarudi utumwani Misri; watakula vyakula najisi huko Ashuru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawatakaa katika nchi ya Bwana, Efuraimu atarudi Misri, nako Asuri watakula yenye uchafu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hawatakaa katika nchi ya BWANA; lakini Efraimu atarudi Misri, nao watakula chakula kinajisi katika Ashuru.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hawatakaa katika inchi ya Yawe. Watu wa Efuraimu watarudi katika utumwa kule Misri. Watakula vyakula vichafu kule Asuria.