Hosea 9:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtafanya nini katika sikukuu ile iliyopangwa, au katika karamu ya Mwenyezi-Mungu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtafanya nini katika siku ya sikukuu zenu zilizoamriwa, katika siku za sikukuu za Mwenyezi Mungu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtafanya nini katika siku ya mkutano wa idi, na katika siku ya karamu ya Bwana?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtafanya nini katika sikukuu ile iliyopangwa, au katika karamu ya Mwenyezi-Mungu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtafanya nini katika siku ya sikukuu zenu zilizoamuriwa, katika siku za sikukuu za BWANA?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtafanya nini katika siku ya sikukuu zenu zilizoamriwa, katika siku za sikukuu za bwana?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtafanya nini katika siku ya mkutano wa sikukuu teule, na katika siku ya karamu ya BWANA?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtafanya nini katika sikukuu ile iliyopangwa, au katika karamu ya Mwenyezi-Mungu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtafanya nini, itakapokuwa siku ya mkutano au sikukuu ya Bwana?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtafanya nini katika siku ya mkutano wa idi, na katika siku ya karamu ya BWANA?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutafanya nini katika sikukuu ile iliyopangwa, au katika karamu ya Yawe?