Isaiah 1:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu enyi watawala waovu kama wa Sodoma! Sikilizeni mafunzo ya Mungu wetu enyi watu waovu kama wa Gomora!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sikieni neno la Mwenyezi Mungu, ninyi watawala wa Sodoma; sikilizeni Torati ya Mungu wetu, enyi watu wa Gomora!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lisikieni neno la Bwana, enyi waamuzi wa Sodoma; tegeni masikio msikie sheria ya Mungu wetu, enyi watu wa Gomora.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu enyi watawala waovu kama wa Sodoma! Sikilizeni mafunzo ya Mungu wetu enyi watu waovu kama wa Gomora!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sikieni neno la BWANA, ninyi watawala wa Sodoma; sikilizeni sheria ya Mungu wetu, enyi watu wa Gomora!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sikieni neno la bwana, ninyi watawala wa Sodoma; sikilizeni Torati ya Mungu wetu, enyi watu wa Gomora!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lisikieni neno la BWANA, enyi waamuzi wa Sodoma; tegeni masikio msikie sheria ya Mungu wetu, enyi watu wa Gomora.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu enyi watawala waovu kama wa Sodoma! Sikilizeni mafunzo ya Mungu wetu enyi watu waovu kama wa Gomora!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lisikilizeni neno lake Bwana, ninyi waamuzi wa Sodomu! Yaangalieni maonyo yake Mungu wetu, ninyi watu wa Gomora! Bwana anasema: Ni vya nini
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lisikieni neno la BWANA, enyi waamuzi wa Sodoma; tegeni masikio msikie sheria ya Mungu wetu, enyi watu wa Gomora.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musikilize neno la Yawe, enyi watawala waovu kama wa Sodoma! Musikilize mafundisho ya Mungu wetu, enyi watu waovu kama wa Gomora!