Isaiah 1:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sikukuu zenu za mwezi mpya na nyinginezo moyo wangu wazichukia. Zimekuwa mzigo mzito kwangu, nami nimechoka kuzivumilia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sikukuu zenu za Miandamo ya Mwezi, na sikukuu zenu zilizoamriwa: moyo wangu unazichukia kabisa. Zimekuwa mzigo kwangu, nimechoka kuzivumilia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sikukuu zenu za mwezi mpya na karamu zenu zilizoamriwa, nafsi yangu yazichukia; mambo hayo yanilemea; nimechoka kuyachukua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikukuu zenu za mwezi mpya na nyinginezo moyo wangu wazichukia. Zimekuwa mzigo mzito kwangu, nami nimechoka kuzivumilia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sikukuu zenu za Miandamo ya Mwezi na sikukuu zenu zilizoamriwa moyo wangu unazichukia. Zimekuwa mzigo kwangu, nimechoka kuzivumilia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sikukuu zenu za Miandamo ya Mwezi, na sikukuu zenu zilizoamriwa: moyo wangu unazichukia. Zimekuwa mzigo kwangu, nimechoka kuzivumilia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sikukuu zenu za mwezi mpya na karamu zenu zilizoamriwa, nafsi yangu yazichukia; mambo hayo yanilemea; nimechoka kuyachukua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikukuu zenu za mwezi mpya na nyinginezo moyo wangu wazichukia. Zimekuwa mzigo mzito kwangu, nami nimechoka kuzivumilia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Roho yangu huzichukia sikukuu zenu za miandamo ya mwezi nazo sikukuu zenu nyingine, zimeniwia mzigo mzito, nimechoka kuuchukua tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sikukuu zenu za mwezi mpya na karamu zenu zilizoamriwa, nafsi yangu yazichukia; mambo hayo yanilemea; nimechoka kuyachukua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sipendezwi na sikukuu zenu za mwandamo wa mwezi, pamoja na sikukuu zenu zingine. Zimekuwa muzigo muzito kwangu, nami nimechoka kuzivumilia.