Isaiah 1:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Sikilizeni enyi mbingu, tega sikio ee dunia. Mimi nimewalea wanangu wakakua, lakini sasa wameniasi!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sikieni, enyi mbingu! Sikilizeni, enyi dunia! Kwa maana Mwenyezi Mungu amesema: “Nimewalisha watoto na kuwalea, lakini wameniasi mimi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sikieni, enyi mbingu, tega sikio, Ee nchi, kwa maana Bwana amenena; Nimewalisha watoto na kuwalea, nao wameniasi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Sikilizeni enyi mbingu, tega sikio ee dunia. Mimi nimewalea wanangu wakakua, lakini sasa wameniasi!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sikieni, enyi mbingu! Sikilizeni, enyi dunia! Kwa maana BWANA amesema: “Nimewalisha watoto na kuwalea, lakini wameniasi mimi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sikieni, enyi mbingu! Sikilizeni, enyi dunia! Kwa maana bwana amesema: “Nimewalisha watoto na kuwalea, lakini wameniasi mimi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sikieni, enyi mbingu, tega sikio, Ee nchi, kwa maana BWANA amenena; Nimewalisha watoto na kuwalea, nao wameniasi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Sikilizeni enyi mbingu, tega sikio ee dunia. Mimi nimewalea wanangu wakakua, lakini sasa wameniasi!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sikilizeni, ninyi mbingu! Angalieni, ninyi nchi! Kwani Bwana anasema: Nilikuza wana, nikawapa utukufu; lakini wao wamenitengua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sikieni, enyi mbingu, tega sikio, Ee nchi, kwa maana BWANA amenena; Nimewalisha watoto na kuwalea, nao wameniasi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anasema hivi: Sikiliza enyi mbingu, tega sikio ee dunia. Mimi nimewalea watoto wangu na kuwakomalisha, lakini sasa wameniasi!