Isaiah 1:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mkikaidi na kuniasi, mtaangamizwa kwa upanga. Mimi, Mwenyezi-Mungu, nimesema.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
lakini mkikataa na kuasi, mtaangamizwa kwa upanga.” Kwa kuwa kinywa cha Mwenyezi Mungu kimenena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
bali kama mkikataa na kuasi mtaangamizwa kwa upanga; maana kinywa cha Bwana kimenena haya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mkikaidi na kuniasi, mtaangamizwa kwa upanga. Mimi, Mwenyezi-Mungu, nimesema.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lakini kama mkikataa na kuasi, mtaangamizwa kwa upanga.” Kwa kuwa kinywa cha BWANA kimenena.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
lakini kama mkikataa na kuasi, mtaangamizwa kwa upanga.” Kwa kuwa kinywa cha bwana kimenena.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
bali kama mkikataa na kuasi mtaangamizwa kwa upanga; maana kinywa cha BWANA kimenena haya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mkikaidi na kuniasi, mtaangamizwa kwa upanga. Mimi, Mwenyezi-Mungu, nimesema.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
lakini mkikataa, mkaacha kutii, mtaliwa na panga. Kwani kinywa chake Bwana kimesema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
bali kama mkikataa na kuasi mtaangamizwa kwa upanga; maana kinywa cha BWANA kimenena haya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mukikataa na kuniasi, mutaangamizwa kwa upanga. Maneno haya yanatoka katika kinywa cha Yawe.