Isaiah 1:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitanyosha mkono wangu dhidi yenu; nitayeyusha uchafu wenu kabisa, na kuondoa takataka yenu yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitauelekeza mkono wangu dhidi yenu, nitawasafisha takataka zenu zote na kuwaondolea unajisi wenu wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nami nitakuelekezea wewe mkono wangu, na kukutakasa takataka zako kabisa, na kukuondolea bati lako lote;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitanyosha mkono wangu dhidi yenu; nitayeyusha uchafu wenu kabisa, na kuondoa takataka yenu yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitauelekeza mkono wangu dhidi yenu, nitawasafisha takataka yenu yote na kuwaondolea unajisi wenu wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitauelekeza mkono wangu dhidi yenu, nitawasafisha takataka zenu zote na kuwaondolea unajisi wenu wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nami nitakuelekezea wewe mkono wangu, na kukutakasa takataka zako kabisa, na kukuondolea bati lako lote;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitanyosha mkono wangu dhidi yenu; nitayeyusha uchafu wenu kabisa, na kuondoa takataka yenu yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mkono wangu utakapokurudia tena, hapo nitayayeyusha mavi yako ya chuma kwa dawa kali, niyaondoe yasiyokupasa yote yaliyomo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nami nitakuelekezea wewe mkono wangu, na kukutakasa takataka zako kabisa, na kukuondolea bati lako lote;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitapigana nawe; nitayeyusha uchafu wako kabisa, na kuondoa takataka yako yote.