Isaiah 1:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mji Siyoni utakombolewa kwa haki, uadilifu utawaokoa watakaotubu humo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sayuni itakombolewa kwa haki, wale walio ndani yake waliotubu, kwa uaminifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sayuni itakombolewa kwa hukumu, na waongofu wake kwa haki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mji Siyoni utakombolewa kwa haki, uadilifu utawaokoa watakaotubu humo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sayuni itakombolewa kwa haki, wale waliomo ndani yake waliotubu kwa uaminifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sayuni itakombolewa kwa haki, wale waliomo ndani yake waliotubu kwa uaminifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sayuni itakombolewa kwa hukumu, na waongofu wake kwa haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mji Siyoni utakombolewa kwa haki, uadilifu utawaokoa watakaotubu humo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sioni utakombolewa kwa maamuzi ya kweli, nao watu wake walioigeuza mioyo watakombolewa kwa wongofu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sayuni itakombolewa kwa hukumu, na waongofu wake kwa haki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muji Sayuni utakombolewa kwa njia ya kufuata sheria ya Mungu, nao wakaaji wake waliogeuka toka zambi zao kwa njia ya haki.