Isaiah 1:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini waasi na wenye dhambi wote wataangamizwa pamoja; wanaomwacha Mwenyezi-Mungu watateketezwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini waasi na wenye dhambi wote wataangamizwa, nao wanaomwacha Mwenyezi Mungu wataangamia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini kuharibika kwao wakosao nao wenye dhambi kutatokea wakati mmoja, nao wamwachao Bwana watateketezwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini waasi na wenye dhambi wote wataangamizwa pamoja; wanaomwacha Mwenyezi-Mungu watateketezwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini waasi na wenye dhambi wote wataangamizwa, nao wanaomwacha BWANA wataangamia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini waasi na wenye dhambi wote wataangamizwa, nao wanaomwacha bwana wataangamia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini waasi na wenye dhambi wote wataangamizwa pamoja, nao wamwachao BWANA watateketezwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini waasi na wenye dhambi wote wataangamizwa pamoja; wanaomwacha Mwenyezi-Mungu watateketezwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wapotovu na wakosaji watavunjwa wote pamoja, nao waliomwacha Bwana watatoweka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini kuharibika kwao wakosao nao wenye dhambi kutatokea wakati mmoja, nao wamwachao BWANA watateketezwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini waasi na wenye zambi wote wataangamizwa pamoja; wanaomwacha Yawe watateketezwa.