Isaiah 1:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtakuwa kama mwaloni unaonyauka majani; kama shamba lisilo na maji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtakuwa kama mwaloni ulio na majani yanayonyauka, kama bustani isiyokuwa na maji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana mtakuwa kama mwaloni ambao majani yake yakauka, na kama bustani isiyo na maji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtakuwa kama mwaloni unaonyauka majani; kama shamba lisilo na maji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtakuwa kama mwaloni wenye majani yanayonyauka, kama bustani isiyokuwa na maji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtakuwa kama mwaloni wenye majani yanayonyauka, kama bustani isiyokuwa na maji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana mtakuwa kama mwaloni ambao majani yake yakauka, na kama bustani isiyo na maji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtakuwa kama mwaloni unaonyauka majani; kama shamba lisilo na maji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mtakuwa kama mtamba uliokauka pamoja na majani yake, au mtafanana na shamba lisilo na maji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana mtakuwa kama mwaloni ambao majani yake yakauka, na kama bustani isiyo na maji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutakuwa kama mialo ambayo majani yake yamekauka; kama shamba lisilokuwa na maji.