Isaiah 1:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wenye nguvu watakuwa kama majani makavu, matendo yao yatakuwa kama cheche za moto. Watateketea pamoja na matendo yao, wala hapatakuwa na mtu wa kuwaokoa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu mwenye nguvu atatoweka kama majani makavu yanayowaka moto, na kazi yake kama cheche ya moto; vyote vitaungua pamoja, wala hakuna wa kuuzima huo moto.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mtu hodari atakuwa kama makumbi, na kazi yake kama cheche ya moto; nao watawaka pamoja, wala hapana atakayewazima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wenye nguvu watakuwa kama majani makavu, matendo yao yatakuwa kama cheche za moto. Watateketea pamoja na matendo yao, wala hapatakuwa na mtu wa kuwaokoa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu mwenye nguvu atatoweka kama majani makavu yawakayo moto na kazi yake kama cheche ya moto; vyote vitaungua pamoja, wala hakuna wa kuuzima huo moto.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu mwenye nguvu atatoweka kama majani makavu yawakayo moto, na kazi yake kama cheche ya moto; vyote vitaungua pamoja, wala hakuna wa kuuzima huo moto.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mtu hodari atakuwa kama makumbi, na kazi yake kama cheche ya moto; nao watawaka pamoja, wala hapana atakayewazima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wenye nguvu watakuwa kama majani makavu, matendo yao yatakuwa kama cheche za moto. Watateketea pamoja na matendo yao, wala hapatakuwa na mtu wa kuwaokoa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwenye nguvu atageuka kuwa kama madifu makavu, nazo kazi zake zitakuwa kama cheche la moto; kisha yatateketea yote pamoja, asipatikane awezaye kuuzima moto huo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mtu hodari atakuwa kama makumbi, na kazi yake kama cheche ya moto; nao watawaka pamoja, wala hapana atakayewazima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wenye nguvu watakuwa kama majani yenye kukauka, matendo yao yatakuwa kama cheche za moto. Watateketea pamoja na matendo yao, wala hakutakuwa mutu wa kuwaokoa.