Isaiah 1:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mji Siyoni umeachwa kama kibanda shambani, kama kitalu katika shamba la matango, kama mji uliozingirwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Binti Sayuni ameachwa kama kipenu katika shamba la mizabibu, kama kibanda katika shamba la matango, kama mji uliozingirwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na binti Sayuni ameachwa kama kibanda katika shamba la mizabibu, kama kipenu katika shamba la matango, kama mji uliohusuriwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mji Siyoni umeachwa kama kibanda shambani, kama kitalu katika shamba la matango, kama mji uliozingirwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Binti Sayuni ameachwa kama kipenu katika shamba la mizabibu, kama kibanda katika shamba la matikitimaji, kama mji uliohusuriwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Binti Sayuni ameachwa kama kipenu katika shamba la mizabibu, kama kibanda katika shamba la matikitimaji, kama mji uliohusuriwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na binti Sayuni ameachwa kama kibanda katika shamba la mizabibu, kama kipenu katika shamba la matango, kama mji uliohusuriwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mji Siyoni umeachwa kama kibanda shambani, kama kitalu katika shamba la matango, kama mji uliozingirwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Paliposalia ni penye binti Sioni, ni kama kilindo mizabibuni, ni kama dungu shambani kwa miboga, kweli ni kama mji uliozungukwa na adui.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na binti Sayuni ameachwa kama kibanda katika shamba la mizabibu, kama kipenu katika shamba la matango, kama mji uliohusuriwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sayuni umeachwa kama kibanda katika shamba la mizabibu, kama kibanda cha mulinzi katika shamba la maboga, kama muji uliozungukwa kwa vita.