Isaiah 1:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu wa majeshi asingalituachia wachache, tungalikwisha kuwa kama watu wa Sodoma, tungalikuwa hali ileile ya Gomora.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni hakutuachia walionusurika, tungekuwa kama Sodoma, tungefanana na Gomora.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama Bwana wa majeshi asingalituachia mabaki machache sana, tungalikuwa kama Sodoma, tungalifanana na Gomora.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu wa majeshi asingalituachia wachache, tungalikwisha kuwa kama watu wa Sodoma, tungalikuwa hali ileile ya Gomora.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama BWANA Mungu Mwenye Nguvu Zote asingelituachia walionusurika, tungelikuwa kama Sodoma, tungelifanana na Gomora.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote asingelituachia walionusurika, tungelikuwa kama Sodoma, tungelifanana na Gomora.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama BWANA wa majeshi asingalituachia mabaki machache sana, tungalikuwa kama Sodoma, tungalifanana na Gomora.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu wa majeshi asingalituachia wachache, tungalikwisha kuwa kama watu wa Sodoma, tungalikuwa hali ileile ya Gomora.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana Mwenye vikosi kama asingalitusazia hao wachache waliookoka, tungalikuwa kama Sodomu, tungalifanana na Gomora.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama BWANA wa majeshi asingalituachia mabaki machache sana, tungalikuwa kama Sodoma, tungalifanana na Gomora.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe wa majeshi asingetuachia watu wachache, tungekwisha kuwa kama watu wa Sodoma tungekuwa na hali ileile ya Gomora.