Isaiah 10:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
je, nitashindwa kuutenda Yerusalemu na sanamu zake, kama nilivyoutenda Samaria na sanamu zake?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
je, nisiutendee Yerusalemu na sanamu zake kama nilivyoutendea Samaria na vinyago vyake?’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
je! Sitautenda Yerusalemu na sanamu zake vile vile kama nilivyoutenda Samaria na sanamu zake?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
je, nitashindwa kuutenda Yerusalemu na sanamu zake, kama nilivyoutenda Samaria na sanamu zake?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
je, nisiishughulikie Yerusalemu na sanamu zake kama nilivyoshughulikia Samaria na vinyago vyake?’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
je, nisiishughulikie Yerusalemu na sanamu zake kama nilivyoshughulikia Samaria na vinyago vyake?’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
je! Sitautenda Yerusalemu na sanamu zake vile vile kama nilivyoutenda Samaria na sanamu zake?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
je, nitashindwa kuutenda Yerusalemu na sanamu zake, kama nilivyoutenda Samaria na sanamu zake?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
je? Yale, tuliyowafanyizia Wasamaria na vinyago vyao, yaleyale tusiwafanyizie Wayerusalemu na vinyago vyao?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
je! Sitautenda Yerusalemu na sanamu zake vile vile kama nilivyoutenda Samaria na sanamu zake?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi nitashindwa kuutendea Yerusalema na sanamu zake, kama nilivyoutendea Samaria na sanamu zake?