Isaiah 10:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huwanyima maskini haki zao, na kuwaibia maskini wa watu wangu maslahi yao. Wajane wamekuwa nyara kwao; yatima wamekuwa mawindo yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kuwanyima maskini haki zao na kuzuilia haki za watu wangu waliodhulumiwa, kuwafanya wajane mawindo yao na kuwanyang’anya yatima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ili kumpotosha mhitaji asipate haki yake, na kuwanyang'anya maskini wa watu wangu haki yao; ili wajane wawe mateka yao, na kuwafanya yatima waliofiwa na baba zao kuwa mawindo yao!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huwanyima maskini haki zao, na kuwaibia maskini wa watu wangu maslahi yao. Wajane wamekuwa nyara kwao; yatima wamekuwa mawindo yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kuwanyima maskini haki zao na kuzuilia haki za watu wangu walioonewa, kuwafanya wajane mawindo yao na kuwanyang'anya yatima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kuwanyima maskini haki zao na kuzuilia haki za watu wangu walioonewa, kuwafanya wajane mawindo yao na kuwanyang’anya yatima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ili kumpotosha mhitaji asipate haki yake, na kuwanyang'anya maskini wa watu wangu haki yao; ili wajane wawe mateka yao, na kuwafanya yatima waliofiwa na baba zao kuwa mawindo yao!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huwanyima maskini haki zao, na kuwaibia maskini wa watu wangu maslahi yao. Wajane wamekuwa nyara kwao; yatima wamekuwa mawindo yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hutaka kuwazuia wanyonge, wasije shaurini, huyapokonya yawapasayo wakiwa wao walio ukoo wangu; tena hutaka, wajane wawe mateka yao, nao wafiwao na wazazi huwanyang'anya mali zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ili kumpotosha mhitaji asipate haki yake, na kuwanyang’anya maskini wa watu wangu haki yao; ili wajane wawe mateka yao, na kuwafanya yatima waliofiwa na baba zao kuwa mawindo yao!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanakataa kusambisha wazaifu, wananyanganya watu wangu wamasikini haki yao. Wanateka wajane; wananyanganya wayatima mali yao.