Isaiah 10:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naam! Bwana, Mwenyezi-Mungu wa majeshi, atakamilisha kabisa katika nchi yote jambo aliloamua kutenda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, atatekeleza maangamizi yaliyoamriwa juu ya nchi yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana Bwana, Bwana wa majeshi, atayatimiza maangamizo yaliyokusudiwa katika nchi yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naam! Bwana, Mwenyezi-Mungu wa majeshi, atakamilisha kabisa katika nchi yote jambo aliloamua kutenda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bwana, BWANA Mwenye Nguvu Zote, atatimiza maangamizi yaliyoamriwa juu ya nchi yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bwana, bwana Mwenye Nguvu Zote, atatekeleza maangamizi yaliyoamriwa juu ya nchi yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana Bwana, BWANA wa majeshi, atayatimiza maangamizo yaliyokusudiwa katika nchi yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naam! Bwana, Mwenyezi-Mungu wa majeshi, atakamilisha kabisa katika nchi yote jambo aliloamua kutenda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani atakayelitimiza shauri la angamizo ni Bwana Mungu Mwenye vikosi, atavifanyiza katika nchi zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana Bwana, BWANA wa majeshi, atayatimiza maangamizo yaliyokusudiwa katika nchi yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli! Bwana, Yawe wa majeshi, atakamilisha kabisa katika inchi yote jambo aliloamua kutenda.