Isaiah 10:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ole wake Ashuru, fimbo ya hasira yangu, yeye ashikaye kiboko cha hasira yangu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ole kwa Ashuru, fimbo ya hasira yangu, ambaye mkononi mwake ana rungu ya ghadhabu yangu!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ole wake Ashuru! Fimbo ya hasira yangu, ambaye gongo lililo mkononi mwake ni ghadhabu yangu!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ole wake Ashuru, fimbo ya hasira yangu, yeye ashikaye kiboko cha hasira yangu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ole wa Waashuru, fimbo ya hasira yangu, ambaye mkononi mwake iko rungu ya ghadhabu yangu!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ole kwa Ashuru, fimbo ya hasira yangu, ambaye mkononi mwake ana rungu ya ghadhabu yangu!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ole wake Ashuru! Fimbo ya hasira yangu, ambaye gongo lililo mkononi mwake ni ghadhabu yangu!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ole wake Ashuru, fimbo ya hasira yangu, yeye ashikaye kiboko cha hasira yangu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yatawapata Waasuri nao, ijapo makali yangu yawatumie kuwa fimbo, ijapo machafuko yangu yawe vigongo mikononi mwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ole wake Ashuru! Fimbo ya hasira yangu, ambaye gongo lililo mkononi mwake ni ghadhabu yangu!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ole kwake Asuria, yeye ni kama fimbo ya hasira yangu, yeye anayeshika kiboko cha hasira yangu!