Isaiah 11:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutatokea chipukizi katika kisiki cha Yese, tawi litachipua mizizini mwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Chipukizi litatokea kutoka shina la Yese, kutoka mizizi yake Tawi litazaa tunda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi litatoka chipukizi katika shina la Yese, na tawi litakalotoka katika mizizi yake litazaa matunda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutatokea chipukizi katika kisiki cha Yese, tawi litachipua mizizini mwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Chipukizi litatokea kutoka katika shina la Yese, kutoka mizizi yake Tawi litazaa tunda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Chipukizi litatokea kutoka shina la Yese, kutoka mizizi yake Tawi litazaa tunda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi litatoka chipukizi katika shina la Yese, na tawi litakalotoka katika mizizi yake litazaa matunda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutatokea chipukizi katika kisiki cha Yese, tawi litachipua mizizini mwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mche utamea shinani mwa Isai, kijiti kilichotoka mizizini mwake kitazaa matunda;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi litatoka chipukizi katika shina la Yese, na tawi litakalotoka katika mizizi yake litazaa matunda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutatokea chipukizi katika shina la Yese, tawi litachipuka toka mizizi yake.