Isaiah 11:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wivu wa Efraimu juu ya Yuda utakoma, hakutakuwa tena na uadui kati ya Yuda na Efraimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wivu wa Efraimu utatoweka, na adui wa Yuda watakatiliwa mbali; Efraimu hatamwonea Yuda wivu, wala Yuda hatakuwa na uadui na Efraimu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wivu wa Efraimu utaondoka, na wale wanaomwudhi Yuda watakatiliwa mbali; Efraimu hatamhusudu Yuda, wala Yuda hatamwudhi Efraimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wivu wa Efraimu juu ya Yuda utakoma, hakutakuwa tena na uadui kati ya Yuda na Efraimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wivu wa Efraimu utatoweka na adui wa Yuda watakatiliwa mbali; Efraimu hatamwonea Yuda wivu wala Yuda hatakuwa na uadui na Efraimu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wivu wa Efraimu utatoweka, na adui wa Yuda watakatiliwa mbali; Efraimu hatamwonea Yuda wivu, wala Yuda hatakuwa na uadui na Efraimu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wivu wa Efraimu utaondoka, na wale wanaomwudhi Yuda watakatiliwa mbali; Efraimu hatamhusudu Yuda, wala Yuda hatamwudhi Efraimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wivu wa Efraimu juu ya Yuda utakoma, hakutakuwa tena na uadui kati ya Yuda na Efraimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo ndipo, wivu wa Waefuraimu utakapokomea, nao waliowasonga Wayuda watang'olewa; Waefuraimu hawatawaonea Wayuda wivu tena, wala Wayuda hawatawasonga Waefuraimu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wivu wa Efraimu utaondoka, na wale wanaomwudhi Yuda watakatiliwa mbali; Efraimu hatamhusudu Yuda, wala Yuda hatamwudhi Efraimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wivu wa Efuraimu juu ya Yuda utakoma, hakutakuwa tena uadui kati ya Yuda na Efuraimu.