Isaiah 11:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Roho ya Mwenyezi-Mungu itakaa kwake, roho ya hekima na maarifa, roho ya shauri jema na nguvu, roho ya ujuzi na ya kumcha Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Roho wa Mwenyezi Mungu atakaa juu yake, Roho wa hekima na wa ufahamu, Roho wa shauri na wa uweza, Roho wa maarifa na wa kumcha Mwenyezi Mungu
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na roho ya Bwana atakaa juu yake, roho ya hekima na ufahamu, roho ya shauri na uweza, roho ya maarifa na ya kumcha Bwana;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Roho ya Mwenyezi-Mungu itakaa kwake, roho ya hekima na maarifa, roho ya shauri jema na nguvu, roho ya ujuzi na ya kumcha Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Roho wa BWANA atakaa juu yake, Roho wa hekima na wa ufahamu, Roho wa shauri na uweza, Roho wa maarifa na wa kumcha BWANA
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Roho wa bwana atakaa juu yake, Roho wa hekima na wa ufahamu, Roho wa shauri na wa uweza, Roho wa maarifa na wa kumcha bwana
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Roho ya BWANA itakaa juu yake, roho ya hekima na ufahamu, roho ya shauri na uweza, roho ya maarifa na ya kumcha BWANA;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Roho ya Mwenyezi-Mungu itakaa kwake, roho ya hekima na maarifa, roho ya shauri jema na nguvu, roho ya ujuzi na ya kumcha Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nayo Roho ya Bwana itamkalia: ni roho yenye werevu wa kweli na utambuzi, ni roho yenye mizungu na uwezo, ni roho ya kumjua Bwana nayo ya kumcha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na roho ya BWANA atakaa juu yake, roho ya hekima na ufahamu, roho ya shauri na uweza, roho ya maarifa na ya kumcha BWANA;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Roho wa Yawe atakaa kwake, Roho wa hekima na maarifa, Roho wa shauri jema na nguvu, Roho wa akili na utii wa Mungu.