Isaiah 11:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atafurahia kumcha Mwenyezi-Mungu. Hatahukumu kadiri ya mambo ya njenje, wala kuamua kufuatana na yale anayosikia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
naye atafurahia kumcha Mwenyezi Mungu. Hatahukumu kwa yale ayaonayo kwa macho yake, wala kuamua kwa yale ayasikiayo kwa masikio yake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na furaha yake itakuwa katika kumcha Bwana; wala hatahukumu kwa kuyafuata ayaonayo kwa macho yake, wala hataonya kwa kuyafuata ayasikiayo kwa masikio yake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atafurahia kumcha Mwenyezi-Mungu. Hatahukumu kadiri ya mambo ya njenje, wala kuamua kufuatana na yale anayosikia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
naye atafurahia kumcha BWANA. Hatahukumu kwa yale ayaonayo kwa macho yake, wala kuamua kwa yale ayasikiayo kwa masikio yake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
naye atafurahia kumcha bwana. Hatahukumu kwa yale ayaonayo kwa macho yake, wala kuamua kwa yale ayasikiayo kwa masikio yake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na furaha yake itakuwa katika kumcha BWANA; wala hatahukumu kwa kuyafuata ayaonayo kwa macho yake, wala hataonya kwa kuyafuata ayasikiayo kwa masikio yake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atafurahia kumcha Mwenyezi-Mungu. Hatahukumu kadiri ya mambo ya njenje, wala kuamua kufuatana na yale anayosikia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye atapendezwa na kumcha Bwana, hataamua kwa hayo, macho yake yatakayoyaona, wala hatakata mashauri kwa hayo, masikio yake yatakayoyasikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na furaha yake itakuwa katika kumcha BWANA; wala hatahukumu kwa kuyafuata ayaonayo kwa macho yake, wala hataonya kwa kuyafuata ayasikiayo kwa masikio yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Furaha yake itakuwa kumutii Yawe. Hatatoa hukumu kulingana na yale anayoona, wala kuamua kufuatana na yale anayosikia.