Isaiah 11:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Haki itakuwa kama mkanda wa kujifunga, uaminifu utakaa naye kama mkanda kiunoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haki itakuwa mkanda wake na uaminifu utakuwa mshipi kiunoni mwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na haki itakuwa mshipi wa viuno vyake, na uaminifu mshipi wa kujifungia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Haki itakuwa kama mkanda wa kujifunga, uaminifu utakaa naye kama mkanda kiunoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haki itakuwa mkanda wake na uaminifu utakuwa mshipi kiunoni mwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haki itakuwa mkanda wake na uaminifu utakuwa mshipi kiunoni mwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na haki itakuwa mshipi wa viuno vyake, na uaminifu mshipi wa kujifungia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Haki itakuwa kama mkanda wa kujifunga, uaminifu utakaa naye kama mkanda kiunoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wongofu utakuwa mkanda wake wa kujifunga, nao welekevu utakuwa mshipi wa kiunoni pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na haki itakuwa mshipi wa viuno vyake, na uaminifu mshipi wa kujifungia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haki itakuwa kama mukaba wa kujifunga, uaminifu utakuwa kama mukaba kwenye kiuno chake.