Isaiah 11:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ngombe na dubu watakula pamoja, ndama wao watapumzika pamoja; na simba atakula majani kama ng'ombe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ng’ombe na dubu watalisha pamoja, watoto wao watalala pamoja, na simba atakula majani makavu kama maksai.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ng'ombe na dubu watalisha pamoja; watoto wao watalala pamoja; na simba atakula majani kama ng'ombe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ng'ombe na dubu watakula pamoja, ndama wao watapumzika pamoja; na simba atakula majani kama ng'ombe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ng'ombe na dubu watalisha pamoja, watoto wao watalala pamoja na simba atakula majani makavu kama maksai.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ng’ombe na dubu watalisha pamoja, watoto wao watalala pamoja, na simba atakula majani makavu kama maksai.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ng'ombe na dubu watalisha pamoja; watoto wao watalala pamoja; na simba atakula majani kama ng'ombe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ngombe na dubu watakula pamoja, ndama wao watapumzika pamoja; na simba atakula majani kama ng'ombe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ng'ombe na kukuu watakula pamoja, nao watoto wao watalala pamoja, nao simba watakula majani makavu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ng’ombe na dubu watalisha pamoja; watoto wao watalala pamoja; na simba atakula majani kama ng’ombe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ngombe na dubu watakula pamoja, watoto wao watapumzika pamoja; na simba atakula majani kama ngombe.