Isaiah 11:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtoto mchanga atacheza kwenye shimo la nyoka mtoto ataweza kutia mkono shimoni mwa nyoka wa sumu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtoto mchanga atacheza karibu na shimo la nyoka, naye mtoto mdogo ataweka mkono wake kwenye kiota cha fira.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mtoto anyonyaye atacheza penye tundu la nyoka, na mtoto aliyeachishwa atatia mkono wake katika pango la fira.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtoto mchanga atacheza kwenye shimo la nyoka mtoto ataweza kutia mkono shimoni mwa nyoka wa sumu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtoto mchanga atacheza karibu na shimo la nyoka mwenye sumu kali, naye mtoto mdogo ataweka mkono wake kwenye kiota cha nyoka mwenye sumu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtoto mchanga atacheza karibu na shimo la nyoka, naye mtoto mdogo ataweka mkono wake kwenye kiota cha fira.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mtoto anyonyaye atacheza penye tundu la nyoka, na mtoto aliyeachishwa kunyonya atatia mkono wake katika pango la fira.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtoto mchanga atacheza kwenye shimo la nyoka mtoto ataweza kutia mkono shimoni mwa nyoka wa sumu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watoto wachanga watacheza penye mashimo ya pili, nao watoto walioacha maziwa ya mama watapeleka vidole vyao machoni kwa nyoka za moto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mtoto anyonyaye atacheza penye tundu la nyoka, na mtoto aliyeachishwa atatia mkono wake katika pango la fira.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutoto muchanga atacheza kwenye shimo la nyoka, mutoto ataweza kutia mukono kwenye shimo la nyoka wa sumu.