Isaiah 11:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika mlima mtakatifu wa Mungu hakutakuwa na madhara wala uharibifu. Maana kumjua Mwenyezi-Mungu kutaenea pote nchini, kama vile maji yajaavyo baharini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawatadhuru wala kuharibu juu ya mlima wangu mtakatifu wote, kwa kuwa dunia itajawa na kumjua Mwenyezi Mungu kama maji yajazavyo bahari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hawatadhuru wala hawataharibu katika mlima wangu wote mtakatifu; maana dunia itajawa na kumjua Bwana, kama vile maji yanavyoifunika bahari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika mlima mtakatifu wa Mungu hakutakuwa na madhara wala uharibifu. Maana kumjua Mwenyezi-Mungu kutaenea pote nchini, kama vile maji yajaavyo baharini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawatadhuru wala kuharibu juu ya mlima wangu mtakatifu wote, kwa kuwa dunia itajawa na kumjua BWANA kama maji yajazavyo bahari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawatadhuru wala kuharibu juu ya mlima wangu mtakatifu wote, kwa kuwa dunia itajawa na kumjua bwana kama maji yajazavyo bahari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hawatadhuru wala hawataharibu katika mlima wangu wote mtakatifu; maana dunia itajawa na kumjua BWANA, kama vile maji yanavyoifunika bahari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika mlima mtakatifu wa Mungu hakutakuwa na madhara wala uharibifu. Maana kumjua Mwenyezi-Mungu kutaenea pote nchini, kama vile maji yajaavyo baharini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawatafanya mabaya wala mapotovu katika milima yangu yote mitakatifu; kwani nchi zitajaa watu wamjuao Bwana, kama maji yanavyofurika baharini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hawatadhuru wala hawataharibu katika mlima wangu wote mtakatifu; maana dunia itajawa na kumjua BWANA, kama vile maji yanavyoifunika bahari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika mulima mutakatifu wa Mungu hakutakuwa ubaya wala uharibifu. Maana kumujua Yawe kutaenea pote katika inchi, kama vile maji yanavyojaa katika bahari.