Isaiah 12:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku hiyo mtasema: “Nakushukuru, ee Mwenyezi-Mungu, maana ingawa ulinikasirikia, hasira yako imetulia, nawe umenifariji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika siku ile utasema: “Nitakusifu wewe, Ee Mwenyezi Mungu. Ingawa ulinikasirikia, hasira yako imegeukia mbali nawe umenifariji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na katika siku hiyo utasema, Ee Bwana, nitakushukuru wewe; Kwa kuwa ijapokuwa ulinikasirikia, Hasira yako imegeukia mbali, Nawe unanifariji moyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku hiyo mtasema: “Nakushukuru, ee Mwenyezi-Mungu, maana ingawa ulinikasirikia, hasira yako imetulia, nawe umenifariji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika siku ile utasema: “Nitakusifu wewe, Ee BWANA. Ingawa ulinikasirikia, hasira yako imegeukia mbali nawe umenifariji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika siku ile utasema: “Nitakusifu wewe, Ee bwana. Ingawa ulinikasirikia, hasira yako imegeukia mbali nawe umenifariji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na katika siku hiyo utasema, Ee BWANA, nitakushukuru wewe; Kwa kuwa ijapokuwa ulinikasirikia, Hasira yako imegeukia mbali, Nawe unanifariji moyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku hiyo mtasema: “Nakushukuru, ee Mwenyezi-Mungu, maana ingawa ulinikasirikia, hasira yako imetulia, nawe umenifariji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Nakushukuru, Bwana, ya kuwa ulinichafukia, kwani machafuko yako yamegeuka, ukanituliza moyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na katika siku hiyo utasema, Ee BWANA, nitakushukuru wewe; Kwa kuwa ijapokuwa ulinikasirikia, Hasira yako imegeukia mbali, Nawe unanifariji moyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku hiyo mutasema: Ninakushukuru, ee Yawe, maana ingawa ulinikasirikia, hasira yako imetoweka, nawe umenifariji.