Isaiah 12:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu ndiye mwenye kuniokoa, nitamtegemea yeye, wala sitaogopa; Mwenyezi-Mungu hunijalia nguvu; yeye mwenyewe ndiye aniokoaye.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakika Mungu ni wokovu wangu; nitamtumaini wala sitaogopa. Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, ni nguvu zangu na wimbo wangu; amekuwa wokovu wangu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, Mungu ndiye wokovu wangu; Nitatumaini wala sitaogopa; Maana Bwana YEHOVA ni nguvu zangu na wimbo wangu; Naye amekuwa wokovu wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu ndiye mwenye kuniokoa, nitamtegemea yeye, wala sitaogopa; Mwenyezi-Mungu hunijalia nguvu; yeye mwenyewe ndiye aniokoaye.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakika Mungu ni wokovu wangu; nitamtumaini wala sitaogopa. BWANA, BWANA, ni nguvu zangu na wimbo wangu; amekuwa wokovu wangu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakika Mungu ni wokovu wangu; nitamtumaini wala sitaogopa. bwana, bwana, ni nguvu zangu na wimbo wangu; amekuwa wokovu wangu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, Mungu ndiye wokovu wangu; Nitatumaini wala sitaogopa; Maana BWANA YEHOVA ni nguvu zangu na wimbo wangu; Naye amekuwa wokovu wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu ndiye mwenye kuniokoa, nitamtegemea yeye, wala sitaogopa; Mwenyezi-Mungu hunijalia nguvu; yeye mwenyewe ndiye aniokoaye.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtazamieni Mungu aniokoaye! Pasipo woga wo wote ninamngojea, kwani Bwana ni nguvu yangu na shangilio langu, yeye Bwana ndiye aniokoaye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, Mungu ndiye wokovu wangu; Nitatumaini wala sitaogopa; Maana BWANA YEHOVA ni nguvu zangu na wimbo wangu; Naye amekuwa wokovu wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu ndiye mwenye kuniokoa, nitamutegemea yeye, wala sitaogopa; Yawe ananijalia nguvu; yeye mwenyewe ndiye anayeniokoa.