Isaiah 12:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwimbieni Mwenyezi-Mungu sifa kwa kuwa ametenda mambo makuu; haya na yajulikane duniani kote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwimbieni Mwenyezi Mungu, kwa kuwa ametenda mambo makuu, hili na lijulikane duniani kote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwimbieni Bwana; kwa kuwa ametenda makuu; Na yajulikane haya katika dunia yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwimbieni Mwenyezi-Mungu sifa kwa kuwa ametenda mambo makuu; haya na yajulikane duniani kote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwimbieni BWANA, kwa kuwa ametenda mambo makuu, hili na lijulikane duniani kote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwimbieni bwana, kwa kuwa ametenda mambo makuu, hili na lijulikane duniani kote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwimbieni BWANA; kwa kuwa ametenda makuu; Na yajulikane haya katika dunia yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwimbieni Mwenyezi-Mungu sifa kwa kuwa ametenda mambo makuu; haya na yajulikane duniani kote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mshangilieni Bwana! Kwani hufanya makuu. Hayo sharti yajulikane katika nchi zote!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwimbieni BWANA; kwa kuwa ametenda makuu; Na yajulikane haya katika dunia yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumwimbie Yawe sifa maana ametenda mambo makubwa; haya yajulikane katika dunia yote.