Isaiah 12:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pazeni sauti na kuimba kwa furaha, enyi wakazi wa Siyoni, maana aliye mkuu miongoni mwenu ndiye Mungu, Mtakatifu wa Israeli.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pazeni sauti mwimbe kwa furaha, watu wa Sayuni, kwa maana mkuu ni yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli miongoni mwenu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Paza sauti, piga kelele, mwenyeji wa Sayuni; Maana Mtakatifu wa Israeli ni mkuu kati yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pazeni sauti na kuimba kwa furaha, enyi wakazi wa Siyoni, maana aliye mkuu miongoni mwenu ndiye Mungu, Mtakatifu wa Israeli.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Paza sauti uimbe kwa furaha, watu wa Sayuni, kwa maana mkuu ni yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli miongoni mwenu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pazeni sauti mwimbe kwa furaha, watu wa Sayuni, kwa maana mkuu ni yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli miongoni mwenu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Paza sauti, piga kelele, mwenyeji wa Sayuni; Maana Mtakatifu wa Israeli ni mkuu kati yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pazeni sauti na kuimba kwa furaha, enyi wakazi wa Siyoni, maana aliye mkuu miongoni mwenu ndiye Mungu, Mtakatifu wa Israeli.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pigeni shangwe na vigelegele, ninyi mkaao Sioni! Kwani aliye mkuu kwenu katikati ndiye Mtakatifu wa Isiraeli.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Paza sauti, piga kelele, mwenyeji wa Sayuni; Maana Mtakatifu wa Israeli ni mkuu kati yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mupige vigelegele na kuimba kwa furaha, enyi wakaaji wa Sayuni, maana Mutakatifu wa Israeli ni makubwa kati yenu.