Isaiah 13:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mishale yao itawaua vijana, hawatakuwa na huruma kwa watoto, wala kuwahurumia watoto wachanga.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mishale yao itawaangusha vijana, hawatakuwa na huruma kwa watoto wachanga wala hawataangalia watoto kwa huruma.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na nyuta zao zitawaangusha vijana; wala hawatahurumia mazao ya tumbo; jicho lao halitawahurumia watoto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mishale yao itawaua vijana, hawatakuwa na huruma kwa watoto, wala kuwahurumia watoto wachanga.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mishale yao itawaangusha vijana, hawatakuwa na huruma kwa watoto wachanga wala hawataangalia watoto kwa huruma.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mishale yao itawaangusha vijana, hawatakuwa na huruma kwa watoto wachanga wala hawataangalia watoto kwa huruma.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na nyuta zao zitawaangusha vijana; wala hawatahurumia mazao ya tumbo; jicho lao halitawahurumia watoto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mishale yao itawaua vijana, hawatakuwa na huruma kwa watoto, wala kuwahurumia watoto wachanga.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini pindi zao hupiga vijana, wafe; hata wenye mimba hawawaonei huruma, wala macho yao hayatazami watoto, waache kuwaua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na nyuta zao zitawaangusha vijana; wala hawatahurumia mazao ya tumbo; jicho lao halitawahurumia watoto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mishale yao itawaua vijana, hawatarehemu watoto, wala kuwahurumia watoto wachanga.