Isaiah 13:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbwamwitu watalia ndani ya ngome zake, mbweha wataonekana ndani ya nyumba zao za anasa. Wakati wa Babuloni umekaribia, wala siku zake hazitaongezwa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Fisi watalia ndani ya ngome zake, mbweha ndani ya majumba yake ya kifahari. Wakati wake umewadia, na siku zake hazitaongezwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mbwa-mwitu watalia ndani ya ngome zake; na mbweha ndani ya majumba ya anasa; na wakati wake u karibu kufika, na siku zake hazitaongezeka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbwamwitu watalia ndani ya ngome zake, mbweha wataonekana ndani ya nyumba zao za anasa. Wakati wa Babuloni umekaribia, wala siku zake hazitaongezwa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Fisi watalia ndani ya ngome zake, mbweha ndani ya majumba yake ya kifalme ya fahari. Wakati wake umewadia, na siku zake hazitaongezwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Fisi watalia ndani ya ngome zake, mbweha ndani ya majumba yake ya kifahari. Wakati wake umewadia, na siku zake hazitaongezwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mbwamwitu watalia ndani ya ngome zake; na mbweha ndani ya majumba ya anasa; na wakati wake u karibu kufika, na siku zake hazitaongezeka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbwamwitu watalia ndani ya ngome zake, mbweha wataonekana ndani ya nyumba zao za anasa. Wakati wa Babuloni umekaribia, wala siku zake hazitaongezwa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbwa wa mwitu watalia majumbani mwao, nao mbweha katika nyumba zao zilizokuwa na furaha tu. Kweli mwisho wa mji huo uko karibu kutimia, siku zake hazitakawilia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mbwa-mwitu watalia ndani ya ngome zake; na mbweha ndani ya majumba ya anasa; na wakati wake u karibu kufika, na siku zake hazitaongezeka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Fisi watalia ndani ya pango zake, mbweha wataonekana ndani ya nyumba zao za raha. Wakati wa Babeli umekaribia, wala siku zake hazitaongezwa.