Isaiah 13:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanakuja kutoka nchi za mbali, wanatoka hata miisho ya dunia: Mwenyezi-Mungu na silaha za hasira yake anakuja kuiangamiza dunia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanakuja kutoka nchi za mbali sana, kutoka miisho ya mbingu, Mwenyezi Mungu na silaha za ghadhabu yake, kuangamiza nchi yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
watu waliotoka katika nchi iliyo mbali, tokea upande wa mwisho wa mbingu; naam, Bwana na silaha za ghadhabu yake, ili aiangamize nchi yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanakuja kutoka nchi za mbali, wanatoka hata miisho ya dunia: Mwenyezi-Mungu na silaha za hasira yake anakuja kuiangamiza dunia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanakuja kutoka nchi za mbali sana, kutoka miisho ya mbingu, BWANA na silaha za ghadhabu yake, kuangamiza nchi yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanakuja kutoka nchi za mbali sana, kutoka miisho ya mbingu, bwana na silaha za ghadhabu yake, kuangamiza nchi yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
watu waliotoka katika nchi iliyo mbali, tokea upande wa mwisho wa mbingu; naam, BWANA na silaha za ghadhabu yake, ili aiangamize nchi yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanakuja kutoka nchi za mbali, wanatoka hata miisho ya dunia: Mwenyezi-Mungu na silaha za hasira yake anakuja kuiangamiza dunia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wamekuja na kutoka nchi za mbali mapeoni kwa mbingu, yeye Bwana na vyombo vya machafuko yake vitakavyoziangamiza nchi zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
watu waliotoka katika nchi iliyo mbali, tokea upande wa mwisho wa mbingu; naam, BWANA na silaha za ghadhabu yake, ili aiangamize nchi yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanakuja kutoka inchi za mbali, wanatoka hata miisho ya dunia: Yawe na silaha za hasira yake anakuja kuiangamiza dunia.