Isaiah 13:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lieni maana siku ya Mwenyezi-Mungu imekaribia; inakuja kama maafa kutoka kwa Mungu Mwenye Nguvu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ombolezeni, kwa maana siku ya Mwenyezi Mungu i karibu, itakuja kama uharibifu kutoka kwa Mwenyezi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pigeni kelele za hofu; maana siku ya Bwana i karibu; itanyesha kama maangamizi yatokayo kwa Mwenyezi Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lieni maana siku ya Mwenyezi-Mungu imekaribia; inakuja kama maafa kutoka kwa Mungu Mwenye Nguvu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ombolezeni, kwa maana siku ya BWANA i karibu, itakuja kama uharibifu kutoka kwa Mwenyezi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ombolezeni, kwa maana siku ya bwana i karibu, itakuja kama uharibifu kutoka kwa Mwenyezi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pigeni kelele za hofu; maana siku ya BWANA i karibu; itanyesha kama maangamizi yatokayo kwa Mwenyezi Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lieni maana siku ya Mwenyezi-Mungu imekaribia; inakuja kama maafa kutoka kwa Mungu Mwenye Nguvu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pigeni vilio! Kwani siku ya Bwana iko karibu; itakuja kama pigo la umeme, likitoka kwake Mwenyezi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pigeni kelele za hofu; maana siku ya BWANA i karibu; itanyesha kama maangamizi yatokayo kwa Mwenyezi Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mulie, maana siku ya Yawe imekaribia; inakuja kama uharibifu kutoka kwa Mungu Mwenye Nguvu.