Isaiah 14:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wote kwa pamoja watakuambia: ‘Nawe pia umedhoofika kama sisi! Umekuwa kama sisi wenyewe!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wote wataitikia, watakuambia, “Wewe pia umekuwa dhaifu, kama sisi tulivyo; wewe umekuwa kama sisi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao wote watajibu na kukuambia, Je! Wewe nawe umekuwa dhaifu kama sisi! Wewe nawe umekuwa kama sisi!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wote kwa pamoja watakuambia: ‘Nawe pia umedhoofika kama sisi! Umekuwa kama sisi wenyewe!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wote wataitika, watakuambia, “Wewe pia umekuwa dhaifu, kama sisi tulivyo; wewe umekuwa kama sisi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wote wataitikia, watakuambia, “Wewe pia umekuwa dhaifu, kama sisi tulivyo; wewe umekuwa kama sisi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao wote watajibu na kukuambia, Je! Wewe nawe umekuwa dhaifu kama sisi! Wewe nawe umekuwa kama sisi!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wote kwa pamoja watakuambia: ‘Nawe pia umedhoofika kama sisi! Umekuwa kama sisi wenyewe!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wote pamoja wanakuzomea kwamba: Kumbe nawe umegeuzwa kuwa mnyonge kama sisi! Ukafananishwa kuwa sawasawa kama sisi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao wote watajibu na kukuambia, Je! Wewe nawe umekuwa dhaifu kama sisi! Wewe nawe umekuwa kama sisi!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wote kwa pamoja watakuambia: Nawe sasa umekuwa zaifu kama sisi! Umekuwa kama sisi wenyewe!