Isaiah 14:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Fahari yako imeteremshwa kuzimu pamoja na muziki wa vinubi vyako. Chini mabuu ndio kitanda chako, na wadudu ndio blanketi lako!’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Majivuno yako yote yameshushwa hadi Kuzimu, pamoja na kelele ya vinubi vyako, mafunza yametanda chini yako, na minyoo imekufunika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Fahari yako imeshushwa hata kuzimu, Na sauti ya vinanda vyako; Funza wametandazwa chini yako, Na vidudu vinakufunika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Fahari yako imeteremshwa kuzimu pamoja na muziki wa vinubi vyako. Chini mabuu ndio kitanda chako, na wadudu ndio blanketi lako!’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Majivuno yako yote yameshushwa mpaka kuzimu, pamoja na kelele ya vinubi vyako, mafunza yametanda chini yako na minyoo imekufunika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Majivuno yako yote yameshushwa mpaka kuzimu, pamoja na kelele ya vinubi vyako, mafunza yametanda chini yako, na minyoo imekufunika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Fahari yako imeshushwa hadi kuzimu, Na sauti ya vinanda vyako; Funza wametandazwa chini yako, Na vidudu vinakufunika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Fahari yako imeteremshwa kuzimu pamoja na muziki wa vinubi vyako. Chini mabuu ndio kitanda chako, na wadudu ndio blanketi lako!’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kumbe nao utukufu wako umekumbwa kushuka kuzimuni pamoja na milio ya mapango yako! Chini umetandikiwa funyo kuwa kilalio chako, nalo blanketi lako la kujifunika ni vidudu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Fahari yako imeshushwa hata kuzimu, Na sauti ya vinanda vyako; Funza wametandazwa chini yako, Na vidudu vinakufunika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utukufu wako umeteremushwa kuzimu pamoja na muziki wa vinubi vyako. Chini mafunza ndio kitanda chako, na wadudu ndio blanketi yako!