Isaiah 14:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
aliyegeuza dunia kuwa kama jangwa, akaangamiza miji yake, na kuwanyima wafungwa wake kurudi kwao?’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
yule aliyeifanya dunia kuwa jangwa, aliyeipindua miji yake, na ambaye hakuwaachia mateka wake waende nyumbani?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Aliyeufanya ulimwengu ukiwa, akaipindua miji yake; Asiyewafungua wafungwa wake waende kwao?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
aliyegeuza dunia kuwa kama jangwa, akaangamiza miji yake, na kuwanyima wafungwa wake kurudi kwao?’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
yule aliyeifanya dunia kuwa jangwa, aliyeipindua miji yake na ambaye hakuwaachia mateka wake waende nyumbani?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
yule aliyeifanya dunia kuwa jangwa, aliyeipindua miji yake, na ambaye hakuwaachia mateka wake waende nyumbani?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Aliyeufanya ulimwengu ukiwa, akaipindua miji yake; Asiyewafungua wafungwa wake waende kwao?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
aliyegeuza dunia kuwa kama jangwa, akaangamiza miji yake, na kuwanyima wafungwa wake kurudi kwao?’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Siye aliyezigeuza nchi kuwa mapori tu? Je? Siye aliyebomoa miji mizima? Je? Siye aliyewakataza wafungwa wake, wasirudi kwao?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Aliyeufanya ulimwengu ukiwa, akaipindua miji yake; Asiyewafungua wafungwa wake waende kwao?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
aliyegeuza dunia kuwa kama jangwa, akaangamiza miji yake, na kukataa kuwafungua wafungwa wake?