Isaiah 14:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama Mwenyezi-Mungu wa majeshi ameamua, nani atakayeweza kubatilisha uamuzi wake? Kama amepania kutoa adhabu, ni nani atakayempinga?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni amekusudia, ni nani awezaye kumzuia? Mkono wake umenyooshwa, ni nani awezaye kuurudisha?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana Bwana wa majeshi amekusudia, naye ni nani atakayelibatili? Na mkono wake ulionyoshwa, ni nani atakayeugeuza nyuma?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama Mwenyezi-Mungu wa majeshi ameamua, nani atakayeweza kubatilisha uamuzi wake? Kama amepania kutoa adhabu, ni nani atakayempinga?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa BWANA Mwenye Nguvu Zote amekusudia, ni nani awezaye kumzuia? Mkono wake umenyooshwa, ni nani awezaye kuurudisha?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa bwana Mwenye Nguvu Zote amekusudia, ni nani awezaye kumzuia? Mkono wake umenyooshwa, ni nani awezaye kuurudisha?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana BWANA wa majeshi amekusudia, naye ni nani atakayelibatili? Na mkono wake ulionyoshwa, ni nani atakayeugeuza nyuma?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama Mwenyezi-Mungu wa majeshi ameamua, nani atakayeweza kubatilisha uamuzi wake? Kama amepania kutoa adhabu, ni nani atakayempinga?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Bwana Mwenye vikosi akikata shauri, yuko nani atakayelitangua? Yuko nani atakayeukunja mkono wake uliokunjuka?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana BWANA wa majeshi amekusudia, naye ni nani atakayelibatili? Na mkono wake ulionyoshwa, ni nani atakayeugeuza nyuma?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama Yawe wa majeshi ameamua, nani atakayeweza kuvunja uamuzi wake? Kama anaunyoosha mukono wake kutoa azabu, ni nani atakayemupinga?