Isaiah 14:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ewe Israeli, wakati Mwenyezi-Mungu atakapokufariji baada ya mateso, misukosuko na utumwa uliofanyiwa,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika siku Mwenyezi Mungu atakapokuondolea mateso, udhia na utumwa wa kikatili,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena itakuwa katika siku ile, ambayo Bwana atakupa raha baada ya huzuni yako, na baada ya taabu yako, na baada ya utumishi ule mgumu uliotumikishwa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ewe Israeli, wakati Mwenyezi-Mungu atakapokufariji baada ya mateso, misukosuko na utumwa uliofanyiwa,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika siku BWANA atakapokuondolea mateso, udhia na utumwa wa kikatili,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika siku bwana atakapokuondolea mateso, udhia na utumwa wa kikatili,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena itakuwa katika siku ile, ambayo BWANA atakupa raha baada ya huzuni yako, na baada ya taabu yako, na baada ya utumishi ule mgumu uliotumikishwa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ewe Israeli, wakati Mwenyezi-Mungu atakapokufariji baada ya mateso, misukosuko na utumwa uliofanyiwa,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo Bwana atakapokupatia pa kutulia na kuyapumzikia masumbufu na mahangaiko na matumishi yako magumu, waliyokutumikisha,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena itakuwa katika siku ile, ambayo BWANA atakupa raha baada ya huzuni yako, na baada ya taabu yako, na baada ya utumishi ule mgumu uliotumikishwa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ewe Israeli, wakati Yawe atakapokufariji nyuma ya mateso, mahangaiko na utumwa uliofanyiwa,