Isaiah 14:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi watapewa jibu gani wajumbe wa taifa hilo? Wataambiwa: Mwenyezi-Mungu ameijenga imara Siyoni, na maskini wa watu wake watakimbilia usalama huko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni jibu gani litakalotolewa kwa wajumbe wa taifa hilo? “Mwenyezi Mungu ameifanya imara Sayuni, na ndani yake watu wake walioonewa watapata kimbilio.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wajumbe wa taifa hilo waletewe jibu gani? Ya kuwa Bwana ameiweka misingi ya Sayuni, na ndani yake wale walioonewa katika watu wake wataona kimbilio.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi watapewa jibu gani wajumbe wa taifa hilo? Wataambiwa: Mwenyezi-Mungu ameijenga imara Siyoni, na maskini wa watu wake watakimbilia usalama huko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni jibu gani litakalotolewa kwa wajumbe wa taifa hilo? “BWANA ameifanya imara Sayuni, nako ndani yake watu wake walioonewa watapata kimbilio.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni jibu gani litakalotolewa kwa wajumbe wa taifa hilo? “ bwana ameifanya imara Sayuni, nako ndani yake watu wake walioonewa watapata kimbilio.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wajumbe wa taifa hilo waletewe jibu gani? Ya kuwa BWANA ameiweka misingi ya Sayuni, na ndani yake wale walioonewa katika watu wake watapata kimbilio kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi watapewa jibu gani wajumbe wa taifa hilo? Wataambiwa: Mwenyezi-Mungu ameijenga imara Siyoni, na maskini wa watu wake watakimbilia usalama huko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao majumbe wa taifa la kimizimu watapata jibu gani? Ni hili: Bwana ameushikiza Sioni! Wanyonge wao walio ukoo wake watapakimbilia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wajumbe wa taifa hilo waletewe jibu gani? Ya kuwa BWANA ameiweka misingi ya Sayuni, na ndani yake wale walioonewa katika watu wake wataona kimbilio.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi watapewa jibu gani wajumbe wa taifa hilo? Wataambiwa: Yawe ameijenga imara Sayuni, na wamasikini kati ya watu wake watakimbilia kule.