Isaiah 14:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu amelivunja gongo la waovu, ameivunja fimbo ya kifalme ya watawala,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu amevunja fimbo ya mwovu, fimbo ya utawala ya watawala,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana amelivunja gongo la wabaya, Fimbo ya enzi yao wenye kutawala.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu amelivunja gongo la waovu, ameivunja fimbo ya kifalme ya watawala,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA amevunja fimbo ya mwovu, fimbo ya utawala ya watawala,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana amevunja fimbo ya mwovu, fimbo ya utawala ya watawala,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA amelivunja gongo la wabaya, Fimbo ya enzi yao wenye kutawala.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu amelivunja gongo la waovu, ameivunja fimbo ya kifalme ya watawala,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana amezivunja fimbo zao wasiomcha, fimbo zao waliotutawala!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA amelivunja gongo la wabaya, Fimbo ya enzi yao wenye kutawala.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe amelivunja gongo la waovu, ameivunja fimbo ya kifalme ya watawala,