Isaiah 15:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa Heshboni na Eleale wanalia, sauti zao zinasikika hadi Yahazi. Hata askari wa Moabu wanalia kwa sauti; mioyo yao inatetemeka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Heshboni na Eleale wanalia, sauti zao zinasikika hadi Yahazi. Kwa hiyo watu wenye silaha wa Moabu wanapiga kelele, nayo mioyo yao imezimia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Heshboni analia na Eleale; mpaka Yahasa sauti ya kulia kwao inasikiwa; hata watu wa Moabu waliovaa silaha wanapiga kelele sana kwa sababu hiyo; nafsi yake inatetemeka ndani yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa Heshboni na Eleale wanalia, sauti zao zinasikika hadi Yahazi. Hata askari wa Moabu wanalia kwa sauti; mioyo yao inatetemeka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Heshboni na Eleale wanalia, sauti zao zinasikika hadi Yahasa. Kwa hiyo watu wenye silaha wa Moabu wanapiga kelele, nayo mioyo yao imezimia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Heshboni na Eleale wanalia, sauti zao zinasikika hadi Yahazi. Kwa hiyo watu wenye silaha wa Moabu wanapiga kelele, nayo mioyo yao imezimia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Heshboni analia na Eleale; mpaka Yahasa sauti ya kulia kwao inasikiwa; hata watu wa Moabu waliovaa silaha wanapiga kelele sana kwa sababu hiyo; nafsi yake inatetemeka ndani yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa Heshboni na Eleale wanalia, sauti zao zinasikika hadi Yahazi. Hata askari wa Moabu wanalia kwa sauti; mioyo yao inatetemeka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wahesiboni na Waelale wanapiga makelele, sauti zao zinasikilika mpaka Yasa. Kwa hiyo nao wapiga vita wa Moabu wanapiga yowe, maana mioyo yao imekwisha kuwa mibaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Heshboni analia na Eleale; mpaka Yahasa sauti ya kulia kwao inasikiwa; hata watu wa Moabu waliovaa silaha wanapiga kelele sana kwa sababu hiyo; nafsi yake inatetemeka ndani yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa Hesiboni na Eleale wanalia, sauti zao zinasikilika mpaka Yasa. Hata waaskari wa Moabu wanalia kwa sauti; mioyo yao inatetemeka.