Isaiah 15:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kijito cha Nimrimu kimekauka; nyasi zimekauka, majani mabichi yamenyauka, hakuna chochote kinachoota hapo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maji ya Nimrimu yamekauka na majani yamenyauka; mimea imekauka wala hakuna kitu chochote kibichi kilichobaki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana maji ya Nimrimu yamekuwa mahali palipoharibika, kwa kuwa majani yamekauka, miche imenyauka, majani mabichi yamekoma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kijito cha Nimrimu kimekauka; nyasi zimekauka, majani mabichi yamenyauka, hakuna chochote kinachoota hapo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maji ya Nimrimu yamekauka na majani yamenyauka; mimea imekauka wala hakuna kitu cho chote kibichi kilichobaki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maji ya Nimrimu yamekauka na majani yamenyauka; mimea imekauka wala hakuna kitu chochote kibichi kilichobaki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana maji ya Nimrimu yamekuwa mahali palipoharibika, kwa kuwa majani yamekauka, miche imenyauka, majani mabichi yamekoma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kijito cha Nimrimu kimekauka; nyasi zimekauka, majani mabichi yamenyauka, hakuna chochote kinachoota hapo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani maji ya Nimurimu yamekupwa, pakawa nyika, majani ya hapo yamenyauka, malisho yamekauka, hakuna kitakachoota hapo tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana maji ya Nimrimu yamekuwa mahali palipoharibika, kwa kuwa majani yamekauka, miche imenyauka, majani mabichi yamekoma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kijito cha Nimurimu kimekauka; nyasi zimekauka, majani mabichi yamenyauka, hakuna chochote kinachoota hapo.