Isaiah 15:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wanavuka kijito cha Mierebi wamebeba mali yao yote waliyochuma, na kila walichojiwekea kama akiba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo mali waliyoipata na kujiwekea akiba wamezichukua na kuvuka Bonde la Mierebi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo vitu walivyojipatia tele, na akiba yao, wanavichukua hata kijito cha mierebi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wanavuka kijito cha Mierebi wamebeba mali yao yote waliyochuma, na kila walichojiwekea kama akiba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo mali waliyoipata na kujiwekea akiba wamezichukua na kuvuka Bonde la Mierebi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo mali waliyoipata na kujiwekea akiba wamezichukua na kuvuka Bonde la Mierebi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo vitu walivyojipatia tele, na akiba yao, wanavichukua hadi kijito cha Mierezi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wanavuka kijito cha Mierebi wamebeba mali yao yote waliyochuma, na kila walichojiwekea kama akiba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa sababu hii wanayapeleka masao ya mali zao, hata malimbiko yao, wayavushe mtoni huko nyikani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo vitu walivyojipatia tele, na akiba yao, wanavichukua hata kijito cha mierebi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakimbizi wanavuka kijito cha Mierebi; wamebeba mali yao yote waliyopata, na kila kitu walichojiwekea kama akiba.