Isaiah 15:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maji ya Diboni yamejaa damu, lakini Mungu ataongeza msiba wa Diboni. Hao wachache watakaobaki hai na kukimbia kutoka nchini Moabu, watapelekewa simba wa kuwaua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maji ya Dimoni yamejaa damu, lakini bado nitaleta pigo jingine juu ya Dimoni: simba juu ya wakimbizi wa Moabu na juu ya wale wanaobaki katika nchi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana maji ya Dimoni yamejaa damu; maana ninaweka tayari msiba mpya juu ya Dimoni, simba juu ya watu wa Moabu waliokimbia, na juu ya mabaki yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maji ya Diboni yamejaa damu, lakini Mungu ataongeza msiba wa Diboni. Hao wachache watakaobaki hai na kukimbia kutoka nchini Moabu, watapelekewa simba wa kuwaua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maji ya Dimoni yamejaa damu, lakini bado nitaleta pigo jingine juu ya Dimoni: simba juu ya wakimbizi wa Moabu na juu ya wale wanaobaki katika nchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maji ya Dimoni yamejaa damu, lakini bado nitaleta pigo jingine juu ya Dimoni: simba juu ya wakimbizi wa Moabu na juu ya wale wanaobaki katika nchi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana maji ya Dimoni yamejaa damu; maana ninatayarisha msiba mpya juu ya Dimoni, simba juu ya watu wa Moabu waliokimbia, na juu ya mabaki yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maji ya Diboni yamejaa damu, lakini Mungu ataongeza msiba wa Diboni. Hao wachache watakaobaki hai na kukimbia kutoka nchini Moabu, watapelekewa simba wa kuwaua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani maji ya Rimoni yamejaa damu; nao Wamoabu waliokimbilia Dimoni nitawaletea kibaya kingine: ni simba atakayewamaliza pamoja nao waliosalia katika nchi yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana maji ya Dimoni yamejaa damu; maana ninaweka tayari msiba mpya juu ya Dimoni, simba juu ya watu wa Moabu waliokimbia, na juu ya mabaki yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maji ya Dimoni yamejaa damu, lakini Mungu ataongeza musiba wa Dimoni. Hao wachache watakaobaki wazima na kukimbia kutoka Moabu, watapelekewa simba wa kuwaua.