Isaiah 16:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakimbizi wa Moabu waishi kwenu, muwe kimbilio lao mbali na mwangamizi.” Mdhalimu atakapokuwa ametoweka, udhalimu utakapokuwa umekoma, na wavamizi kutoweka nchini,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waacheni watoro wa Moabu wakae pamoja nanyi; kuweni mahali pao pa salama ili kuepuka mwangamizi.” Mtesi atafikia mwisho na maangamizi yatakoma, aletaye vita atatoweka kutoka nchi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wangu waliofukuzwa waache wakae pamoja nawe; katika habari za Moabu, uwe sitara kwake mbele ya uso wake anayeharibu; maana yeye atozaye kwa nguvu amekoma; afanyaye ukiwa ametoweka; waliokanyaga watu wametoka katika nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakimbizi wa Moabu waishi kwenu, muwe kimbilio lao mbali na mwangamizi.” Mdhalimu atakapokuwa ametoweka, udhalimu utakapokuwa umekoma, na wavamizi kutoweka nchini,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waacheni watoro wa Moabu wakae pamoja nanyi; iweni mahali pao pa salama ili kuepuka mharabu.” Mtesi atafikia mwisho na maangamizi yatakoma, aletaye vita atatoweka kutoka katika nchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waacheni watoro wa Moabu wakae pamoja nanyi; kuweni mahali pao pa salama ili kuepuka mharabu.” Mtesi atafikia mwisho na maangamizi yatakoma, aletaye vita atatoweka kutoka nchi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wangu waliofukuzwa waache wakae pamoja nawe; katika habari za Moabu, uwe kimbilio kwake mbele ya uso wake anayeharibu; maana yeye atozaye kwa nguvu amekoma; afanyaye ukiwa ametoweka; waliokanyaga watu wametoka katika nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakimbizi wa Moabu waishi kwenu, muwe kimbilio lao mbali na mwangamizi.” Mdhalimu atakapokuwa ametoweka, udhalimu utakapokuwa umekoma, na wavamizi kutoweka nchini,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Acha, wafukuzwao Moabu wafikie kwako! Wawie ficho machoni pao wanaowakimbiza, sharti siku zao wawasongao ziishe, maangamizo yamalizike, nao waliowaponda watoweke katika nchi yao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wangu waliofukuzwa waache wakae pamoja nawe; katika habari za Moabu, uwe sitara kwake mbele ya uso wake anayeharibu; maana yeye atozaye kwa nguvu amekoma; afanyaye ukiwa ametoweka; waliokanyaga watu wametoka katika nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakimbizi wa Moabu waishi kwenu, mukuwe kimbilio lao mbali na mwangamizaji. Mutesaji atakapokuwa ametoweka, mateso yatakapokuwa yamekoma, na wagandamizaji kutoweka katika inchi.