Isaiah 17:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
hata mkiifanya ikue siku hiyohiyo mliyoipanda na kuifanya ichanue asubuhi hiyohiyo, mavuno yenu yatatoweka siku hiyo ya balaa na maumivu yasiyoponyeka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
hata kama siku ile unapoipandikiza, unaifanya iote na asubuhi ile ile unayoipanda, unaifanya ichipue, hata hivyo mavuno yatakuwa kama si kitu katika siku ile ya ugonjwa na maumivu yasiyoponyeka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika siku ile ulipopanda, ulifanya kitalu, na wakati wa asubuhi ulizimeesha mbegu zako, lakini mavuno yatatoweka siku ya huzuni, na ya sikitiko la moyo lifishalo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
hata mkiifanya ikue siku hiyohiyo mliyoipanda na kuifanya ichanue asubuhi hiyohiyo, mavuno yenu yatatoweka siku hiyo ya balaa na maumivu yasiyoponyeka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
hata kama siku ile unapoipandikiza, unaifanya iote na asubuhi ile ile unayoipanda, unaifanya ichipue, hata hivyo mavuno yatakuwa kama si kitu katika siku ile ya ugonjwa na maumivu yasiyoponyeka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
hata kama siku ile unapoipandikiza, unaifanya iote na asubuhi ile ile unayoipanda, unaifanya ichipue, hata hivyo mavuno yatakuwa kama si kitu katika siku ile ya ugonjwa na maumivu yasiyoponyeka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika siku ile ulipopanda, ulifanya kitalu, na wakati wa asubuhi ulizimeesha mbegu zako, lakini mavuno yatatoweka siku ya huzuni, na ya sikitiko la moyo lifishalo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
hata mkiifanya ikue siku hiyohiyo mliyoipanda na kuifanya ichanue asubuhi hiyohiyo, mavuno yenu yatatoweka siku hiyo ya balaa na maumivu yasiyoponyeka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ya kupandia uzichipuze, kesho zipate kuchanua! Lakini mavuno yatakuwa yamekimbia siku ile, utakapougua kwa kupatwa na maumivu yasiyopona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika siku ile ulipopanda, ulifanya kitalu, na wakati wa asubuhi ulizimeesha mbegu zako, lakini mavuno yatatoweka siku ya huzuni, na ya sikitiko la moyo lifishalo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
hata mukiifanya ikomae siku hiyohiyo muliyoipanda na kuifanya ichanue asubui hiyohiyo, mavuno yenu yatatoweka siku hiyo ya hasara na maumivu yasiyoweza kuponyeshwa.