Isaiah 17:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mitaa yake imeachwa mahame milele. Itakuwa makao ya makundi ya wanyama, wala hakuna mtu atakayewatisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Miji ya Aroeri itaachwa na itaachiwa mifugo ambayo italala huko, bila yeyote wa kuyaogopesha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Miji ya Aroeri imeachwa; itakuwa kwa makundi ya kondoo, nao watajilaza huko wala hapana atakayewatia hofu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mitaa yake imeachwa mahame milele. Itakuwa makao ya makundi ya wanyama, wala hakuna mtu atakayewatisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Miji ya Aroeri itaachwa na itaachiwa makundi ya kondoo na mbuzi, ambayo yatalala huko, bila ye yote wa kuyaogopesha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Miji ya Aroeri itaachwa na itaachiwa mifugo ambayo italala huko, bila yeyote wa kuyaogopesha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Miji ya Aroeri imeachwa; itakuwa mahali pa makundi ya kondoo, nao watajilaza huko wala hapana atakayewatia hofu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mitaa yake imeachwa mahame milele. Itakuwa makao ya makundi ya wanyama, wala hakuna mtu atakayewatisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miji ya Aroeri itakuwa imeachwa nayo, itakuwa malisho, makundi yatapumzikia hapo pasipo kuona atakayeyastusha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Miji ya Aroeri imeachwa; itakuwa kwa makundi ya kondoo, nao watajilaza huko wala hapana atakayewatia hofu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Miji inayokuwa chini yake imeachwa matongo milele. Itakuwa makao ya makundi ya nyama, wala hakuna mutu atakayewatisha.