Isaiah 17:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Siku hiyo, fahari ya Yakobo itaporomoshwa, na unono wake ataupoteza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Katika siku ile utukufu wa Yakobo utafifia, unono wa mwili wake utadhoofika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena itakuwa katika siku hiyo, utukufu wa Yakobo utapungua-pungua, na kunona kwa mwili wake kutakonda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Siku hiyo, fahari ya Yakobo itaporomoshwa, na unono wake ataupoteza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Katika siku ile utukufu wa Yakobo utafifia, unene wa mwili wake utadhoofika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Katika siku ile utukufu wa Yakobo utafifia, unono wa mwili wake utadhoofika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena itakuwa katika siku hiyo, utukufu wa Yakobo utapungua na kunona kwa mwili wake kutakwisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Siku hiyo, fahari ya Yakobo itaporomoshwa, na unono wake ataupoteza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ile ndipo, utukufu wa Yakobo utakapopunguka sana, nao mwili wake mnene utakuwa gofu la mtu tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena itakuwa katika siku hiyo, utukufu wa Yakobo utapungua-pungua, na kunona kwa mwili wake kutakonda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku hiyo, utukufu wa Yakobo utaporomoshwa, na unono wake utapotea.