Isaiah 17:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hawatazielekea tena madhabahu ambazo ni kazi za mikono yao wenyewe, wala kuzitazamia tena kazi za mikono yao wenyewe, yaani sanamu za mungu Ashera na madhabahu za kufukizia ubani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawataziangalia tena madhabahu, kazi za mikono yao, nao hawataheshimu nguzo za Ashera, na madhabahu za kufukizia uvumba zilizofanywa kwa mikono yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala hataziangalia madhabahu, kazi ya mikono yake; wala hatavitazama vilivyofanyika kwa vidole vyake, maashera na sanamu za jua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hawatazielekea tena madhabahu ambazo ni kazi za mikono yao wenyewe, wala kuzitazamia tena kazi za mikono yao wenyewe, yaani sanamu za mungu Ashera na madhabahu za kufukizia ubani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawataziangalia tena madhabahu, kazi za mikono yao, nao hawatathamini nguzo za Ashera na madhabahu za kufukizia uvumba zilizofanywa kwa mikono yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawataziangalia tena madhabahu, kazi za mikono yao, nao hawataheshimu nguzo za Ashera, na madhabahu za kufukizia uvumba zilizofanywa kwa mikono yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala hataziangalia madhabahu, kazi ya mikono yake; wala hatavitazama vilivyofanyika kwa vidole vyake, maashera na sanamu za jua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hawatazielekea tena madhabahu ambazo ni kazi za mikono yao wenyewe, wala kuzitazamia tena kazi za mikono yao wenyewe, yaani sanamu za mungu Ashera na madhabahu za kufukizia ubani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
hawatapatazamia tena mahali pao pa kutambikia, mikono yao ilipopatengeneza, wala hawatataka kuiona tena mifano ya mwezi wala ya jua, waliyoifanya kwa vidole vyao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala hataziangalia madhabahu, kazi ya mikono yake; wala hatavitazama vilivyofanyika kwa vidole vyake, maashera na sanamu za jua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hawataelekea tena mazabahu ambazo ni kazi za vidole vyao wenyewe, wala kuzitazamia tena kazi za mikono yao wenyewe, ni kusema sanamu za mungu Ashera na mazabahu za kufukizia ubani.