Isaiah 18:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ole, wake nchi iliyojaa mvumo wa mabawa, nchi iliyoko ngambo ya mito ya Kushi!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ole kwa nchi ya mvumo wa mabawa, kando ya mito ya Kushi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ole wa nchi ya uvumi wa mabawa, Iliyoko mbali kupita mito ya Kushi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ole, wake nchi iliyojaa mvumo wa mabawa, nchi iliyoko ng'ambo ya mito ya Kushi!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ole kwa nchi ya mvumo wa mabawa, kwenye mito ya Kushi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ole kwa nchi ya mvumo wa mabawa, kando ya mito ya Kushi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ole wa nchi ya uvumi wa mabawa, Iliyoko mbali kupita mito ya Kushi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ole, wake nchi iliyojaa mvumo wa mabawa, nchi iliyoko ngambo ya mito ya Kushi!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi mliotoka katika nchi yenye vivuli viwili iliyoko ng'ambo ya majito ya Nubi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ole wa nchi ya uvumi wa mabawa, Iliyoko mbali kupita mito ya Kushi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ole, kwa inchi iliyojaa muvumo wa mabawa, inchi inayokuwa ngambo ya mito ya Kushi!